Funga Mwezi Na Tetesi Za Usajili VPL leo Alhamisi May 31.


-Juma Abdul Akubali kujiunga Azam FC baada Mkataba wake Kuisha..Unaambiwa ni M50 na Mkataba wa Miaka Miwili.

-Wengine ni Kelvin Yondani na Geoffrey Mwashiuya kutua Azam FC.

-Mghana wa Simba James Kotei Kutimka Msimbazi..Afrika Kusini Kunatajwa...Mbadala wake Unaambiwa ni Papy Tshishimbi wa Yanga.

-Wengine ni Juma Luizio na Laudit Mavugo kutimka Simba.

-Shafiq Batambuze Kwenye Rada za Azam huku Danny Usengimana Kutimua Singida.. Mbadala wake Pichani hapo Mbrazil Felipe Oliveira Dos Santos pia kakipiga pale ASEC Mimosa Ivory Coast.

-Coastal Union Wanamtaka Kijana WO Juma Mahadhi Anaemaliza Mkataba wake Jangwani.

-Feisal Salum "fei Toto" Katua Singida United.
-Tafadzwa Kutinyu Ametua Azam FC Kutokea Singida United...Mbadala wake pale Singida ni Mghana Ernest Kwame Ofori.

-Andrew Vicent kwenye rada za Azam FC pia.

-Piere Lechantre hati hati na Kibarua Chake Msimbazi huenda Akatimua..Kocha Mkuu kuwa Masoud Djuma.

-Beno Kakolanya JKT Tanzania.

-Anko Mrisho Ngassa Mbioni Kurejea Yanga SC..

-Mohammed Ibrahim MO katua Yanga Muda Wowote Kutangazwa Jangwani.

-Beno Kakolanya, Hassan Kessy,Andrew Vicent, Nadir Haroub,Kelvin Yondani, Juma Mahadhi,Obrey Chirwa,Said Makapu,Geoffrey Mwashiuya,Juma Abdul,Emmanuel Martin na Wengine Wamemaliza mikataba yao Yanga.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.