Simba Bila Okwi Na Bocco Yaelekea Kenya huku Ikimjumuisha Nyota Wake Mpya Mmoja.
MICHUANO ya SportPesa Super Cup inatarajiwa kuanza Juni 3 jijini Nairobi na mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wanatarajiwa kuondoka saa 12 asubuhi ya leo Alhamisi na kikosi kamili kwenda kusaka tiketi ya kucheza na Everton nchini Uingereza
Ukimuondoa Haruna Niyonzima, itawakosa nyota wake wengine wote wa kigeni pamoja na nahodha John Bocco huku akijumuishwa mshambuliaji mpya aliyesajiliwa kutoka Majimaji ya Songea, Marcel Kaheza. Taarifa zinadai Adam Salamba anatarajiwa kuungana na wenzake Jumamosi hii.
Wachezaji wengine wakimataifa wataungana na timu kule kenya
Msafara wa Wekundu hao was Msimbazi utakuwa na watu 30 kama ifuatavyo;
1. Aishi Manula
2. Said Mohamed
3. Ally Salim
4. Ally Shomary
5. Paul Bukaba
6. Erasto Nyoni
7. Yusufu Mlipili
8. Mohamed Hussein
9. Jonas Mkude
10. Shomari Kapombe
11. Mzamiru Yassin
12. Marcel Kaheza
13. Moses Kitandu
14. Rashid Juma
15. Said Hamis Ndemla
16. Haruna Niyonzima
17. Shiza Kichuya
18. Mohamed Ibrahim
2. Said Mohamed
3. Ally Salim
4. Ally Shomary
5. Paul Bukaba
6. Erasto Nyoni
7. Yusufu Mlipili
8. Mohamed Hussein
9. Jonas Mkude
10. Shomari Kapombe
11. Mzamiru Yassin
12. Marcel Kaheza
13. Moses Kitandu
14. Rashid Juma
15. Said Hamis Ndemla
16. Haruna Niyonzima
17. Shiza Kichuya
18. Mohamed Ibrahim
Bechi la Ufundi
19. Pierre Lechantre
20. Masoud Djuma
21. Mohamed Aimen
22. Muharam Mohamed
23. Richard Robert
24. Yassin Gembe
25. Hamisi Mtambo
19. Pierre Lechantre
20. Masoud Djuma
21. Mohamed Aimen
22. Muharam Mohamed
23. Richard Robert
24. Yassin Gembe
25. Hamisi Mtambo
Viongozi
26. Said Tulliy
27. Hamis Kisiwa
30. Haji Manara
26. Said Tulliy
27. Hamis Kisiwa
30. Haji Manara
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.