Feisal Salum"FEI TOTO" Kujiunga Na Timu Hii Ligi Kuu Tanzania Msimu Ujao.
OFFICIAL: Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya JKU ya Zanzibar, anayesifika kwa upigaji wa pasi murua Feisal Salum amethibitisha atajiunga na klabu ya Singida United msimu ujao.
Licha ya kutakiwa na klabu ya Yanga, Fei Toto baada ya kumalizika kwa Cecafa Challenge Cup alienda kufanya majaribio DRC Congo katika timu ya Matema Pembe na hakufanikiwa kufuzu akarejea JKU.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.