Simba Yaanza Kujiandaa Kuwakabili Waarabu..

Kikosi cha Simba chaanza mazoezi kujiandaa na Al Masry

Kikosi cha Simba leo jioni  kimeanza mazoezi tayari kujiandaa na mchezo dhidi ya Al Masry utakaochezwa siku ya Jumatano saa 12:00 jioni. 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.