Messi Atupia Goli la 600..
Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi amefunga goli lake la 600 akiwa na FC Barcelona .
Messi amefunga bao hilo katika dakika ya 26 ya kipindi cha kwanza ya mchezo Kati ya Barcelona na Atletico Madrid.
Mtangange wa mechi ya Ligi Kuu Hispania unaendelea hivi sasa, Barcelona anaongoza kwa bao 1-0 dhidi Atletico Madrid.

No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.