Simba Watua Port Said Misiri


Msafara wa kikosi cha Simba tayari umewasili Port Said, nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la shirikisho dhidi ya Al Masry.

Msafara wa Simba ukiwa na wachezaji 20 na viongozi saba uliondoka jana jioni kwa usafiri wa ndege ya Ethiopia Airlines.

Simba itakuwa ugenini huko Misri keshokutwa Jumamosi, March 17 kuikabili Al Masry katika mchezo ambao inahitaji ushindi wa aina yoyote ili iweze kufuzu raundi ya pili ya michuano hiyo


Join us on WHATSAPP 
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.