PICHA: Wachezaji Wa Azam Wakijiweka Fiti Gym Leo Asubuhi.



Mchakamchaka unaendelea, wachezaji wakiongeza ufiti gym leo asubuhi kuelekea mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Mtibwa Sugar,utakaofanyika Machi 31 2018,kwenye Uwanja wa Azam Complex,Chamazi.










Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.