Kwa Mtonyo Huu(Pesa) Dah Yanga Sasa Wana Kila Sababu Ya Kuwaondoa Township Rollers.


Jumanne ya Machi 6 201klabu ya Yanga inaarajiwa kujitwisha Bendera ya Tanzania na kupeperusha katika mlingoti uliopo iwanja wa taifa ni pale itakaposhuka dimbani kuiwakilisha nchi  katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya klabu ya Township Rollers kutoka Botswana.

Katika kuelekea mchezo huo SOKAKIGANI tumekuwa tukikusogezea baadhi ya taarifa mpenyezo katika kiganja chako na hii ni ya muhimu kufahamu.

Yanga wanakila sababu ya kushinda na kuhakikisha wanaiondoa klabu ya Township Rollers ili kuhakikisha wanasonga mbele katika michuano hiyo ya klabu Bingwa amba endapo watafanikiwa kisonga mbele badi wanaweza kujinyakulia mkwanja(pesa) mwingi zaidi ya ule wanaoupata wanapotwa kombe la ligi haoa nchini.

TATHIMIN KWA UFUPI HII HAPA
Wanatakiwa kuitoa timu ya Township Rollers ya Botwswana ili wapewe Dola 550,000 ambazo ni sawa pesa za kitanzania 1,250,000,0000 (Bilioni 1.25).
Yaaani Yanga wana mechi 2 za kuwapa hizo pesa ambazo zitaongezeka zaidi kama wakiingia robo fainali.

Kumbuka bingwa wa Tanzania analipwa Tsh 80,000,000 kwa kucheza mechi zaidi ya 30.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.