KCCA FC Yataja 18 Watakaoifuata St. George..
Wawakilishi wa Ugandan katika michuano CAF Champions League kwa mwaka 2018, Kcca fc, watasafiri kuelekea Addis Ababa, Ethiopia Asubuhi ya leo Jumatatu kuwafuata St. George.
Katika kuhakikisha mambo yanakwenda uzuri Kocha wa timu hiyo, Mik Mutebi, amewataja wachezaji 18 kuwa ndio watakaotumika katika mchezo huo.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumatano ya machi 07 na timu hizo zibatarajiwa kurudia Mjini Kampala wiki moja baadae.
Kikosi kitakachosafiri ni; Kavuma Habib, Bukenya Lawrence, Nsibambi Derrick Paul, Mutyaba Muzamiru, Kizza Mustafa, Mucureezi Paul, Okot Denis Oola, Ssenjobe Eric, Kirabira Isaac, Poloto Julius, Lukwago Charles, Okello Allan, Obenchan Filbert, Malyamungu Jamil, Shaban
Muhammad, Okwalinga Solomon, Kaddu Patrick, Awany Dennis
Makocha:
Mike Hillary Mutebi, Byekwaso Morley Ochama, Kaddu Badru, Kiwanuka Daniel,
Magera Jackson Kaddu, Malinga Richard, Kabuye Robert, Tusuubira Emmanuel, Ssewanyana
Ivan
Maafisa Wengine:
Magero Moses Mwanje, George Opio Okello,
Ochieng Patrick Fred, Namukisa Josephine
Mjumbe; Kalema Ronnie
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.