Kisa Mkude! Manara Na Mkemi Hapatoshi Instagram
Mara baada ya msemaji wa klabu ya simba Haji Manara kuthibitisha juu ya taarifa za kiungo wa klabu yake, Jonas Mkude kuumia kifundo cha mguu akiwa mazoezini hapo jana taarifa iliyokuwa ikisomeka kama ifuatavyo:-
Baada ya taarifa hiyo mjumbe wa kamati ya utendaji wa klabu ya Yanga, Salum Mkemi akaibuka na kuoa maoni kwenye posti hiyo ya Manara kwa kuandika ujumbe uliokuwa ukisomeka hivi.
Comment hiyo ya Mkemi ilimfanya Manara arejee na kumjibu mkemi
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.