Je Unakikumbuka Kiporo Alichonacho Yanga? Hiki Hapa Na Tarehe Ya Kuliwa..



Baada ya kuahirishwa kutokana na maandalizi ya kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga umepangiwa tarehe.

Akizungumza leo na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya TFF, Boniface Wambura, amesema mchezo huo utachezwa Mei 9 2018 katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro.

Mchezo huo uliahirishwa ili kuipa nafasi Yanga kufanya maandalizi ya kucheza na Township Rollers FC kwenye CAF Champions
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.