Kabwili Aitwa Timu Ya Taifa, Hili Hapa kikosi Kamili Kilichotangazwa Leo.
Goli kipa kinda wa klabu ya Yanga, Ramadhani Kabwili ameungana na wachezaji wengine 22 kukamilisha kikosi cha wachezaji 23 wa Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki kwenye tarehe za kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria na DR Congo.
Kikosi hichi kilichotajwa leo kitaongozwa na kocha Salumu Mayanga
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.