Yanga Wachekelea Matokeo Ya Simba, Watupia Madongo Haya Kwa Simba..


Mara baada ya Simba kutoka sare na klabu ya Yanga imeibuka na kutupa dongo kwa simba huku wakitambia matokeo walioyapata watani wao wa jadi.

Katika posti mbili(2) zilizoandikwa kwenye ukurasa maalumu wa twitter zinaonyesha wazi kuwa Yanga wamefurahishwa na matokeo hayo ya sare kwa Simba.

Baada ya hapo Yanga wakaweka jumbe hizi.

Ujumbe huu unasema "we are coming for Eve" wakimaanisha sasa wanamkaribia mpinzani wao.
Ujumbe mwingine unasema"FIVE Point tibe the league standing." Wakimaanisha zimebakia pointi 5 oekee na Yanga wataongoza ligi...

Yanga kwa sasa wapo katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 37 nyuma ya vinara wa ligi hiyo Simba wenye pointi 42..

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.