WAJUMBE FIFA KUWASILI TANZANIA LEO



Wajumbe 70 wa mkutano mkuu wa FIFA wanatarajiwa kuwasili nchini leo kutoka nchi wanachama wa Shirikisho la soka duniani ( FIFA ). Wajumbe hao Sambamba na raisi wa FIFA Giann Infantino watakuwa na mkutano mkuu wa mwaka nchini ambao utaanza keshokutwa katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere. 
Raisi wa shirikisho la soka Afrika (CAF) Ahmad Ahmad pia ni miongoni mwa viongozi watakao hudhuria mkutano huo wa kihistoria katika uga wa soka Tanzania . 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.