Simba Hatihati Kuwakosa Manula Na Bocco Leo..
Simba huenda ikawakosa nahodha wake Jonh Bocco, na kipa wake Aishi Manula aliyejitonesha katika mazoezi ya jana jioni.
Bocco aliumia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui alikwenda safari hiyo, pigo kubwa kwa Simba ni kuumia kwa kipa wake tegemeo Manula.
Simba leo itacheza mechi yake ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Gendarmarie ya Djibouti kwenye Uwanja wa State de Vile wenye uwezo wa kuingia mashabiki 40,000.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.