TP Mazembe Uso Kwa Uso Na Wydad Casablanca Leo..
Leo ndio leo kwani wale Mabingwa Afrika kupimana nguvu, hapa namaanisha bingwa wa kombe la klabu bingwa barani Africa, 'Wydad Casablanca' atakapokipiga na bingwa wa kombe la shirikisho barani Africa, 'TP Mazembe'..
Kwa ufupi ninkuwa timu hizi zimekutana mara 4 hapo kabla, Wydad Casablanca ikishinda mara 2, na TP Mazembe kushinda mara 1 na wametoka sare mara 1.
Pambano hilo linatarajiwa kutimua vumbi kuanzia saa 1:30 (19:30) Usiku na litakuwa mubashara kupitia runinga katika channel ya ZBC 2.
WAAMUZI WA MCHEZO HUO NI.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.