SportPesa Super Cup Yarejea Yarejea Mbao FC Yaongezwa Kushiriki..


Michuano ya SportPesa Super Cup ambayo inadhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa imerejea na ratiba yake imepangwa.

Kwa msimu huu michuano hiyo itahusisha vila vya 8 ambavyo miongoni mwake wamo mabingwa watetezi wa michuano hiyo. Gormahia, Simba,Yanga,Singida United, Mbao Fc,Kalybang Sharks,AFC Leopards na timu ya Bandari FC.

Ratiba kamili hii hapa.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.