Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka Simba sc.



Klabu ya Simba kupitia kwa afisa habari wake, Haji Manara imesema kuwa kesho majira ya saa nane mchana itatambulisha rasmi jezi zitakazotumika kwa msimu wa 2018/2019.

Kwa mujibu wa ujumbe ulioandikwa na Manara huku ukiambatana na shukurani kwa wadhamini wa klabu hiyo, "Sportpesa" amezema,


Asanteni @tzsportpesa kwa branding murua ya mabasi yetu... Niwajulishe kesho Saa Nane na nusu mchana tutambulisha jezi zetu mpya tutakazotumia msimu wa 2018/19
Shughuli hyo itafanyika Serena hotel ya hapa jijini Dar es salaam..
Wanahabari tunawaomba hyo kesho ili muwajuze watanzania kitakochokuwa kinaenelea... #SimbaDay #KibingwaZaidi 🇵🇪🇵🇪

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.