LIGI KUU TANZAINABARA VPL INATARAJIA KUENDELEA HAPO KESHO, JUMAMOSI PIA JUMAPILI

Na Joseph michael
Kesho Ijumaa Mei 04,2018.
16.00 Ruvu Shooting Vs Mwadui

Jumamosi Mei 05,2018.
16.00 Tanzania Prisons Vs Lipuli FC
16.00 Singida United Vs Njombe Mji FC

Jumapili Mei 06,2018.
16.00 Simba SC Vs Ndanda FC
16.00 Majimaji FC Vs Mtibwa Sugar
16.00 Kagera Sugar Vs Mbeya City FC
16.00 Stand United Vs Azam FC

👉Mchezo Ambao Umesogezwa Mbele na haujapangiwa tarehe ni Klabu ya Yanga SC Ilitakiwa Kucheza na Mbao FC ya Mwanza katika Uwanja wa Taifa.

Sababu ni Kuipa muda Klabu ya Yanga SC Kujiandaa na Mchezo wa Kimataifa Dhidi ya USM Alger ya Algeria Siku ya Jumapili Mei 06,2018.

👉Wafungaji Bora Mpaka Sasa.
1.E.Okwi 19           Simba
2.J.Boco 14.            Simba
3.M.Kaheza 13        Majimaji
4.O.Chirwa 12       Yanga
5.E.Ambokile 10    Mbeya City
6.H.Kiyombo 9      Mbao
7.M.Rashid 9          TZ Prisons
8.A.Kwasi 8             Simba
9.I.Ajib 7                 Yanga

MSIMAMO WA VPL

By JOSEPH michael

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.