Deal Done : Straika Majimaji Asaini Mkataba Simba sc.

Boniventure ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakiliumiza vichwa benchi la ufundi la Simba kwa muda mrefu kama ilivyokuwa kwa timu nyinginezo, hasa Yanga, Singida United na hata Azam FC, zilizokuwa zikimpigia hesabu kumtwaa kutokana na kuvutiwa na kiwango chake.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.