SERENGETI BOYS WATINGA FAINALI CECAFA



Timu ya Tanzania chini ya Miaka 17 Serengeti Boys imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya CECAFA U17 baada ya kuifunga timu ya Kenya U17 kwa magoli mawili kwa moja (2-1)

Sasa Tanzania itacheza Fainali ya Cecaf U17 dhidi ya Somalia jumapili ya April 29 Katika uwanja wa Ngozi Burundi

FT Tanzania U17 2-1 Kenya U17 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.