Matokeo Yanga vs Wolaitta Dicha SC [CAF Confederation Cup]

CAF CONFEDERATION CUP.

Dakika 90' za mchezo kati ya Yanga na Waethiopia Wolaitta Dicha zimemalizika kwa Yanga kuibuka kidedea kwa ushindi wa goli 2-0 magoli yaliofungwa na Raphael Daud mnamo dakika ya 1 yaani sekunde 30 na lile la pili likifungwa na Emmaniel Martine.

Kwa ushindi huo Yanga watahitaji sare yoyote ili kufuzu hatua ya Makundi ya michuano hiyo katika mchezo wa marudiano unaotarajiwa kupigwa Aprili 18 nchini Ethiopia.

FT: CAF CONFEDERATION CUP.

Yanga 2-0 Wolaitta Dicha
⚽️Raphael Daud.
⚽️Emmanuel Martine

Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.