Gor Mahia Yaweka Rekodi CAF Confederation Cup.


Klabu ya Gor Mahia imekiwa klabu ya kwanza kutoka nchini Kenya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya CAF Confederation Cup.

Licha ya kupoteza mchezo wake wa marudiano dhidi ya klabu aya Supersport United kwa jumla ya goli 2-1 Gor Mahia wameendelea mnele kutokana na kuto kuruhusu goli katika uwanja wake wa nyumbani katika mchezo wa awali ambao Gor iliibuka na ushindi wa goli 1-0 katika mchezo wa awajili.

Gor wameiondoa Supersports United kwa faida ya goli la ugeniini walilolipata katika mchezo wa leo baada ya kufikisha magoli 2 -2..

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.