Wachezaji Na Makocha Wanaowania Tuzo Ligi Kuu England..



Wachezaji Saba wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Premier league kwa mwezi wa pili (February)
1-Eden Hazard (Chelsea)
>Hazard amecheza mechi 3 (W1, L2) kwa mwezi wa pili (February) amefunga magoli 3 na kutoa assist 1.
2-Pascal Gross (Brighton)
>Katika mwezi wa pili Gross amecheza mechi 3 (W2, D1) na kufanikiwa kufunga goli 1 na ametoa Assists 2
3-Mousa Dembele (Tottenham)
>Dembele mwezi February amecheza mechi 3 (W2, D1) amepiga pass 202 zilizowafikia walengwa 186 ikiwa ni asiliamia 92 pass zilizofika kwa walengwa (Pass Saccess)
4-Mohamed Salah (Liverpool)
>kwa mwezi February Mohamed Salah amecheza mechi 3 (W2 D1) Amefunga magoli 4 na kutoa assists 2
5-Glenn Murray (Brighton)
>Murry kwa mwezi february amecheza mechi 3 (W2 D1) amefunga magoli 3
6-Xherdan Shaqir (Stoke City)
>Kiungo Shaqir kwa mwezi wa pili (February) amecheza mechi 3 (D2, L1) amefunga magoli 3
7-Sergio Aguero (Man City)
-Mshambuliaji Sergio Aguero Katika mwezi wa pili amecheza mechi 2 (W1, D1) na amefunga magoli 4
(nani kuibuka na tuzo hii ya mwezi wa pili?)


-Makocha watano (5) wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwezi wa pili (February) Premier League
1-David Wagner (Huddersfield)
Mechi 3 (W2, D0, L1)
2-Mouricio Pochettino (Tottenham)
Mechi 3 (W2, D1, L0)
3-Chris Hughton (Brighton)
Mechi 3 (W2, D1, L0)
4-Javier Gracia (Watford)
Mechi 3 (W2, D0, L1)
5-Jurgen Klopp (Liverpool)
Mechi 3 (W2, D0, L1)


No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.