FT: MATOKEO SIMBA VS STAND UNITED

Image may contain: one or more people, people playing sports and outdoor

Mchezo Wa Ligi Kuu VodacomTanzania Bara Kati Ya Simba Na Stand United Umeanza Na Tayari Simba Wameshapata goli la Kwanza...

Dakika 8'
Simba SC 1 - 0 Stand United FC
Kwasi

Dakika 16'
Simba bado wanalishambulia lango la Stand licha ya mipira michache ya Stand ambayo imekuwa ikielekea langoni mwa Simba.

Dakika ya 18'
Vitalis Mayanga anapata kadi ya njano
Simba wanapiga free kick inababatiza ukuta.

Dakika ya 22
Ludit Mavugo anaipatia simba goli la 2 likiwa ni goli lake la tatu msimu huu mawili yakiwa ni dhidi ya Stand United..

Dak ya 26
Offside ya kwanza kwa Stand United

Dak ya 27,
 Faulo inapigwa engo ya kushoto kushoto mwa Uwanja na Mkude, mabeki wa Stand wanaokoa

Dak ya 28,
 Asante Kwasi anajiinamia baada ya kuumia, mpira umesimama, Simba wanaongoza kwa mabao 2-0.

Dak ya 29, 
Jaribio zuri wanafanya Stand, lakini mpira unatoka nje

Dk ya 30,
 Manula anaanza free kiki, lakini mpira unatoka nje

Gooooooo
Dakika 36 
Taariq Seif anawafungia Stand United goli la kwanza

Dakika 38
 Ally Ally anapewa kadi ya njanoo.

GOOOOOOO
Dakika 40
Stand wanasawazisha kwa kona ya moja kwa moja mpaka golini
Aaron Lulambo
Simba 2 - 2 Stand United

Dak ya 42, Kona inapigwa kueleka lango la Stan
Dak ya 43, Kadi nyingine ya njano inatoka, mfungaji Lulambo anapewa baada ya kushika mpira

HT
Simba SC 2 - 2 Stand United FC 
Kwasi, Mavugo - Tariq, Aroon

Dak ya 45, Beki wa Stand ameumia, anatolewa kwenda kugangwa, mpira unarushwa langoni mwa Simba 

Dak ya 46, Stand United wameanza

Dak ya 47, Simba wanaanza kwa Manula kupiga shuti lakini mpira unatoka nje

Dak ya 50, Fair Play inachezwa na Stand 

Dak ya 50, Simba wanaanza kwa kupasiana eneo la nyuma

Dak ya 51, Mpilipili anampasia Mkude, Mkude anapiga kwake Luizio ambaye amechukua nafasi ya Mavugo 

Dak ya 52, Simba wanaanza tena eneo la nyuma baada ya mpira kutoka, anaumiliki Mkude eneo la katikati

Dak ya 55, Kichuya anampasia Nyoni, Kichuyaaaa, kipa anapangua 

Dak ya 56, Stand wanaondoka sasa, lakini unakwenda nje, Simba wanarusha 

Dak ya 57, Free Kiki, Kichuya anapiga kuelekea langoni mwa Stand, Abdul Kassim wa Stand anapewa kadi ya njano 

Dak ya 58, Kichuya anapiga lakini Simba wanautoa na inakuwa goli kiki

Dak ya 53, Free Kiki inapigwa kuelekea eneo la Stand baada ya Gyan kufanyiwa faulo, mpira unapigwa lakini unatoka nje

Dak ya 60, Kipa wa Stand anaumia baada ya kubabatizana na beki wake, matokeo ni 2-2

Dak ya 61, Mpira bado umesimama

Dak ya 61, Goooooo, Gyan anaifungia Simba bao la 3, sasa ni 3-2

Dakika ya 66
Stand wanasawazisha kwagoli safii..


Ligi Kuu @VodacomTanzania Bara.

FT
Simba SC 3 - 3 Stand United FC
⚽️Kwasi
⚽️Mavugo
⚽️Tariq
⚽️Aroon
⚽️Gyan
⚽️Blaise



























No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.