VIDEO: TFF KUFUATILIA TUHUMA ZA UPANGAJI WA MATOKEO KWA WAAMUZI WA TANZANIA WALIOENDA KUCHEZESHA KLABU BINGWA AFRIKA..
Shirikisho la soka nchini, limesema linafuatilia kwa karibu tuhuma za Upangaji wa matokeo kwa waamuzi wa Tanzania katika mechi za michuano ya Africa baina ya RAYON Sports ya RWANDA Na LYDIA LYDIC ya BURUNDI.Katibu mkuu wa tff Wilfred Kidao amesema jambo hilo ni fedheha kwa Nchi
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.