Posti Mbili Za Shiza Kichuya Baada Ya Ushindi Wa Stars, "Tukutane VPL"


Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Shiza Ramadhani Kichuya amezitahadharisha timu ambazo za ligi kuu Tanzania na hii ni baada ya kuonyesha kiwango bora zaidi katika mchezo dhidi ya Congo Dr.

Kichuya ambaye amehusika kwenye magoli yote ya Star huku akitoa assist ya goli alilofunga Samatta na yeye kufunga goli la pili ameandika jumbe mbili kupita ukurasa wake wa instagram jumbe ambazo zinawatahadhariaha wapinzani wake ligi kuu.

Katika ujumbe wa kwanza Kichuya ameandika "Tukutane VPL"


A post shared by Shiza Ramadhani kichuya (@kichuya_) on

Baada n ya ujumbe huo Kichuya akaongeza tena na kusema "VPL Uumechelewa" hii ni ishara ya kuwa anamorali ya juu sana.

Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.