Wapinzani wa Simba kombe la Shirikisho Afrika, Klabu ya Al Masry kutoka Misri tayari imeshawasili jijini Dar Es Salaam leo alfajiri kwa ajili ya mchezo wa siku ya Jumatano.
Al Masry imewasili na msafara wa watu 40 na kufikia katika hoteli ya Hyatt (Kilimanjaro Kempsinki).
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.