+PICHA: UWANJA UTAKAOTUMIKA KWENYE MCHEZO WA YANGA NA TOWNSHIP ROLLERS
Huu ndio uwanja utakao chezwa mchezo kati ya Township rollers Fc na Yanga Sc, ambapo kesho majira ya saa 9:45 kwa saa za Botswana, sawa na saa 10:45 Kwa saa za Tanzania.
Wakati huohuo Homa ya mechi ya ligi ya mabingwa afrika inazidi kupanda katika jiji la Gaborone, hamasa ni kubwa kwa mashabiki kwani mpka sasa zaidi ya asilimia 65 ya ticket zimesha uzwa kwa mashabiki ambao wataingia uwanjani kutimaza mtanange huu.... Uwanja wa taifa wa Botswana unauwezo wa kuchukua mashabiki 22000 wakiwa wameketi katika viti.
Mchezo huo kwa nyumbani Tanzania utarushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Azam.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.