Matokeo: Yanga vs Township Rollers..


Yanga SC wanapoteza mechi ya kwanza katika Raundi ya kwanza Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers fc kutoka Botswana.

Mechi ya marudiano itapigwa Machi 17, Botswana 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.