FULL PRESS - Simba SC ilivyojiandaa kuimaliza Al Masry: Kocha, Nahodha wazungumza

Ni mkutano wa klabu ya Simba na wanahabari uliofanyika leo Machi 6, 2018 ambapo benchi la ufundi la Simba likiongozwa na kocha wake mkuu Pierre Lechantre akiongozana na nahodha John Bocco, limeeleza jinsi walivyojiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Al Masry ya Misri. Mkutano huo umefanyika katika ofisi za TFF, waandishi wa habari wamepata fursa ya kuuliza maswali na kujibiwa kikamilifu


No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.