LWANDAMINA APATA DILI CAF...

Tokeo la picha la george lwandamina
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga George Lwandamina amepokea mwaliko kutoka CAF ili kushiriki mafunzo ya CAF Pro License Course yatakayoanza mnamo tarehe 12-14 mwezi huu wa tatu yatakayofanyika Rabat, Morocco.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.