Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Njombe Mji na Simba umehairishwa ili kuipa Simba nafasi ya kujiandaa na mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry. Simba inatarajia kuelekea Misri tarehe 12 Machi.
Mchezo huo namba 171 ulikuwa umepanga kupigwa mnamo tarehe 11.03.2018 sasa utapangiwa tarehe hapo baadae.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.