Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga Yaporomoshwa Kutoka Nafasi ya Pili



MSIMAMO: Baada ya mechi sita za raundi ya 21 kukamilika kwa mechi nne za leo, msimamo wa #VPL leo unaonesha Azamfc  kupanda hadi nafasi ya pili ikiishusha Yanga huku Lipuli FC ikirejea kwenye nafasi yake ya saba.

Kesho ni Yanga SC vs Kagera Sugar 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.