Mayanga Afanya Mabadiliko Ya Kikosi Kitakachoanza Dhidi Ya Algeria Leo , Hiki Hapa Kikosi Kamili..
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Salum Mayanga amefanya mabadiliko ya kikosi muda huu baada ya madaktari kuthibitisha golikipa Aishi Manula hataweza kucheza mchezo huo
NB: Mchezo huu utaanza saa 2:00 usiku
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.