CECAFA YATUMA BARUA TFF IKIOMBA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA KAGAME
TFF imepokea barua hiyo leo ikiitaka Tanzania iwe mwenyeji wa michuano hiyo ambayo mara nyingi hufanyika jijini Dar es Salaam inapotokea Tanzania kwa mwenyeji.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, amethibitisha shirikisho hilo kupokea barua hiyo na kuahidi kuifanyia kazi. "Ni kweli tumepokea barua ya CECAFA ikiomba Tanzania tuwe wenyeji wa michuano ya Kagame, tutaifanyia kazi na tujajua kipi cha kufanya'' amesema Ndimbo.
Michuan hiyo inayohusisha nchi za Afrika Mashariki na Kati inatarajia kuanza Juni mwaka huu.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.