Aliyeiangamiza Yanga Dhidi Ya Township Rollers Afunga Ndoa Leo..


Mshambuliaji wa klabu ya Township Rollers,  Lempony Tshireletso amefunga Ndoa leo siku chache baada ya kurejea nchini kwa wakitokea Tanzania.

Mshambuliaji huyu ni yule alifunga goli la kwanza katika mchezo kati ya Township Rollers na Yanga umchezo ambao ulipigwa katika dimba la taifa na Yanga Kupoteza kwa goli 2-1.
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.