YANGA YAPATA PIGO KUELEKEA KUWAVAA ST LOUIS LEO

Tokeo la picha la juma mahadhi
Taarifa tulizo zipokea kutoka usheli sheli Yanga sc imesema nyota wake Juma mahadhi ameugua usiku wa leo na kukimbizwa hospitali.
Yanga sc imesema kuwa hali ya nyota huyo inaendelea vyema baada ya kuugua usiku wa kuamkia leo.
Daktari wa klabu hiyo amesema moja kwa moja nyota huyo ataukosa mchezo wa leo dhidi ya St louis huko mjini usheli sheli.
Hii ni habari mbaya kwa Watanzania kwani Yanga inahitaji ushindi katika mchezo huo huku ikikosa huduma ya nyota kadhaa ambao ni majeruhi.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.