AMKA NA TAARIFA HIZI KATIKA SOKA LEO JUMATANO .
KITAIFA
👉Mnyama Simba awatupilia nje wa djbout katika kombe la shirikisho baada ya kupata ushindi wa goli moja kwa bila hapo jana , Simba wanaiondosha Gender marie kwa tofauti ya magoli 5-0 .
👉Mnyama Simba awatupilia nje wa djbout katika kombe la shirikisho baada ya kupata ushindi wa goli moja kwa bila hapo jana , Simba wanaiondosha Gender marie kwa tofauti ya magoli 5-0 .
👉Baada ya hapo jana kumwondoa Gendermarie wa djbout sasa rasmi mnyama atakutana na Al masry kutoka uarabuni wenyewe Simba wasema wanajipanga kuja kupambana na waarabu hao kutoka nchini Misri .
👉Haji s manara amesema kuwa klabu ya Simba itawasili leo nchini na kisha wachezaji watapewa mapumziko ya siku moja kisha wataingia kambini kuanza kujiwinda dhidi ya mbao fc Katika mchezo wa ligi kuu nchini Tanzania .
👉Azam fc imethibitisha kuwa Mchezaji wao himidi mao atakua nje ya uwanja kwa mda wa wiki tatu akiuguza jeraha lake la goti imeelezwa kuwa nyota huyo amebainika kuwa damu yake imevilia ndani ya goti lake hivyo hatafanyiwa upasuaji atapewa matibabu maalumu ili arejee katika hali yake , Get well soon Himid mao .
👉Zesco United uso kwa uso na Jku leo nyumbani kwao huko mjini zambia .
kuelekea mchezo huo kocha mkuu wa klabu ya Jku amsema kuwa vijana wake watakwenda kupambana ili wapate matokeo yatakayo wafanya wasonge mbele katika kombe la klabu bingwa baranai Africa .
kuelekea mchezo huo kocha mkuu wa klabu ya Jku amsema kuwa vijana wake watakwenda kupambana ili wapate matokeo yatakayo wafanya wasonge mbele katika kombe la klabu bingwa baranai Africa .
👉Wawakilishi wa Tanzania katika kombe la shirikisho kutoka zanzibar klabu ya zimamoto leo ipo Ethiopia kupambana na wenyeji Welayta Dicha , kuelekea mchezo huo zimamoto wamesema kuwa watapambana kuhakikisha wanarudi na ushindi .
👉Kuelekea mchezo wa leo kombe la Asfc katika wana Njombe, Njombe Mji dhidi ya Mbao fc Njombe mji kupitia Afisa habari wake wamesema kuwa wao wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo huo waleo utakao pigwa Katika uwanja wa sababa mjini Njombe .
👉Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania klabu ya soka ya YANGA leo itaingia uwanjani majira ya saa kumi jioni kupambana na Louis sun united huko ushelilisheli, kuelekea mchezo huo uongozi wa klabu hiyo umesema kuwa kila kitu kinaendelea vyema kuelekea mchezo huo huku wakiomba dua za WATANZANIA kuelekea mchezo huo , Mchezo huo utarushwa live katika kituo kikubwa cha telvision Azam tv kuanzia majira ya saa kumi jioni .
👉Kuelekea mkutano wa FIFA nchini ugeni wazidi kumiminika nchini kwa ajili ya mkutano huo mkubwa hapa nchini , Zanzibar nao wacharuka wasema watauliza swala lao la uanachama FIFA pia wataanika madudu ya tff kutowapa haki zao .
👉Bodi ya ligi kuu nchini Tanzania jana imetangaza tarehe ya Mchezo wa NDANDA dhidi YANGA kuchezwa .
Bodi ya ligi imesema kuwa mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Nangwanda Huko mjini MTWARA tarehe 28 mwezi huu .
Bodi ya ligi imesema kuwa mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Nangwanda Huko mjini MTWARA tarehe 28 mwezi huu .
👉Kocha mkwasa amesema isinge kua majeruhi basi YANGA wangekua katika nafasi nzuri katika msimamo wa ligi kuu nchini Tanzania bara msimu huu.
👉Masudi djuma na Kocha Peter wamesema kuwa katika michezo ya ligi kuu iliyobaki watakua wakifanya mazoezi ufichoni , kwani lengo lao kuu ni kubeba ubingwa msimu huu .
SOKA KIMATAIFA
👉Messi afanya yake baada ya mda mrefu pale Darajani .
mchezo wa klabu bingwa barani ulaya katika ya Chelsea dhidi ya Fc barcelona umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya goli moja kwa moja goli la chelsea limefungwa na Willian dakika ya 62 ya mchezo huku lile la Barcelona likifungwa na Messi dakika ya 75 ya mchezo .

👉Bayermunich yafanya yake yamshushia kipigo cha mbwa mwizi Fc beskitas cha goli 5-0 hapo jana usiku katika mchezo wa klabu bingwa barani ulaya ,magoli ya BayernMunich yamefungwa na Thomas Muller dakika 43&66 huku K.Coman akifunga goli moja dakika 53, magoli mengine yamefungwa na Lewandowski 79na 88.
👉Baada ya kupachika magoli mawili jana katika champions league Roberto Lewandowski jana amefikisha magoli 45 katika mashindano hayo .
👉Kocha Jose mourinho amehusishwa kuwinda saini ya kiungo Tony Kroos wa Real madrid katika majira ya kiangazi .
👉Imeelezwa kuwa Paul Pogba anaweza timkia katika klabu ya Real Madrid katika majira ya kiangazi baada ya kutokua na furaha katika klabu ya soka ya Manchester united .
👉Mchezaji wa zamani wa Real madrid raia wa Nigeria
Mutiu Adepoju amesema kuwa ligi kuu nchini Spain ndiyo ligi bora Duniani kwa sasa huku akielezea mafanikio ya vilabu vinavyotoka katika ligi hiyo kuleta ushindani katika mashindano ya Uefa na Europa league .

👉Chama cha soka nchini England FA hakijampiga faini Aguero ila chama hicho kimezipiga faini klabu za Wigan na Macity zote mbili kwa kosa la kushindwa kuwazuia wachezaji wao wasifanye vurugu hapo juzi usiku .
MATOKOE YA SOKA JANA
★Uefa Champions League
FT Bayern Munich 5 - 0 Besiktas
FT Chelsea 1 - 1 Barcelona
★Uefa Champions League
FT Bayern Munich 5 - 0 Besiktas
FT Chelsea 1 - 1 Barcelona
★England - Championship
FT Aston Villa 1 - 1 Preston North End
FT Barnsley 1 - 2 Burton Albion
FT Brentford 5 - 0 Birmingham City
FT Middlesbrough 3 - 1 Hull City
FT Millwall 2 - 1 Sheffield Wednesday
FT Nottingham Forest 1 - 1 Reading
FT Sheffield United 2 - 1 Queens Park Rangers
FT Bolton Wanderers 1 - 0 Sunderland
FT Hessen Kassel 1 - 1 Kickers Offenbach

★France - Ligue 1
FT Troyes 0 - 0 Dijon
FT Troyes 0 - 0 Dijon
★Africa - Champions League:: qualification February 20
FT Olympique Real 0 - 0 ES Setif
FT Williamsville Athletic Club 1 - 0 Stade Malien Bamako
FT Al Hilal Omdurman 3 - 0 LISCR
FT Olympique Real 0 - 0 ES Setif
FT Williamsville Athletic Club 1 - 0 Stade Malien Bamako
FT Al Hilal Omdurman 3 - 0 LISCR
★Africa - Confederations Cup::
FT AS Port-Louis 2000 4 - 1 Ngazi Club
FT Masters Security FC 0 - 0 Petro de Luanda
FT Gendarmerie Nationale 0 - 1 Simba SC
FT Green Buffaloes FC 2 - 1 Al Masry Club
FT Anse Reunion FC 1 - 2 APR FC
FT La Mancha 1 - 0 AS Tanda
FT Deportivo Niefang FC 1 - 0 New Star de Douala
FT Belouizdad 2 - 0 Onze Createurs FT Hafia FC 1 - 1 Energie FC
FT Cape Town City 1 - 0 Young Buffaloes FC

★Egypt - Premier League
FT Tanta 0 - 0 El Raja Marsa Matruh
FT El Dakhleya 1 - 2 Al Mokawloon Al Arab
FT El Entag El Harby 1 - 0 Alassiouty
FT Wadi Degla FC 1 - 0 El Geish
FT Tanta 0 - 0 El Raja Marsa Matruh
FT El Dakhleya 1 - 2 Al Mokawloon Al Arab
FT El Entag El Harby 1 - 0 Alassiouty
FT Wadi Degla FC 1 - 0 El Geish
★South Africa - Premier
FT Platinum Stars 0 - 0 SuperSport United
FT Platinum Stars 0 - 0 SuperSport United
International - Friendly (Under 19)
FT Bulgaria U19 2 - 1 Kosovo U19
FT Greece U19 0 - 1 Ukraine U19
FT Bulgaria U19 2 - 1 Kosovo U19
FT Greece U19 0 - 1 Ukraine U19
RATIBA YA SOKA LEO
★Azam Sports federation Cup
16:0O Njombe Mji Vs Mbao fc
16:0O Njombe Mji Vs Mbao fc
★Uefa Champions League
22:45 Sevilla Vs Manchester United 22:45 Shakhtar Donetsk Vs Roma
22:45 Sevilla Vs Manchester United 22:45 Shakhtar Donetsk Vs Roma
★Uefa Europa League
20:00 CSKA Moscow Vs FK Crvena Zvezda
20:00 CSKA Moscow Vs FK Crvena Zvezda
★England Champion Ship
22:45 Bristol City Vs Fulham
22:45 Derby County Vs Leeds United
22:45 Ipswich Town Vs Cardiff City
22:45 Wolverhampton Wanderers Vs Norwich City
22:45 Bristol City Vs Fulham
22:45 Derby County Vs Leeds United
22:45 Ipswich Town Vs Cardiff City
22:45 Wolverhampton Wanderers Vs Norwich City
★Spain - LaLiga Santander
20:45 Leganes Vs Real Madrid
20:45 Leganes Vs Real Madrid
★Germany - 2nd Bundesliga
20:30 Darmstadt Vs Kaiserslautern
20:30 Darmstadt Vs Kaiserslautern
★Africa - Champions League:: qualification
15:00 Pamplemousses Vs Bidvest Wits
15:30 Be Forward FC Vs AS Vita Club
16:00 Kampala CCA Vs CNaPS Sport
16:00 LLB Academic Vs Rayon Sports
16:00 Platinum FC Vs Primeiro de Agosto
16:00 UD Songo Vs Ngaya Club
16:00 ZESCO United Vs JKU FC
16:30 Louis Suns United Vs Young Africans
17:00 Benfica Bissau Vs Difaa Hassani El Jadidi
17:00Mbabane Swallows Vs Bantu 17:30 Eding Sport Vs Plateau United FC 17:30 Mounana Vs RC Kadiogo
18:00 Aduana Stars Vs Al Tahaddi
18:00 Mountain of Fire and Mira... Vs Real Bamako
18:00 Togo Port Vs Leopards de Dolisie
19:00 ASEC Mimosas Vs Buffles de Borgou
19:00 Esperance Sportive de Tu... Vs Concorde
19:00 Leones Vegetarianos Vs Gor Mahia
20:00 Horoya Vs AS FAN
20:00 Misr Elmaqasah Vs Génération Foot
20:30 Al Merrikh Vs Township Rollers

★Africa - Confederations Cup:: preliminary round
14:30 SOM Fosa FC Vs Leopards
16:00 Welayta Dicha Vs Zimamoto
17:30 CARA Brazzaville Vs Asante Kotoko
17:30 Maniema Union Vs Mangasport
18:00 Jwaneng Galaxy FC Vs Costa do Sol
18:00 Sahel FC Vs Al-Ittihad
18:30 Etoile Filante Vs Olympic Star
18:30 Nouadhibou Vs Africa Sport d’Abidjan
19:00 Mbour Petite Côte Vs RSB Berkane
21:00 Real de Banjul Vs Akwa United

★South Africa - Premier League
20:30 Mamelodi Sundowns FC Vs Free State Stars
20:30 Mamelodi Sundowns FC Vs Free State Stars
©Chris Agstine 2018
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.