VPL: Matokeo Simba vs Mbao Fc

38' Bao! Shuti la chini kwa chini kutoka kwa Kichuya linambabatiza mlinzi wa Mbao na kumpoteza kipa wa Mbao. Simba 1-0 Mbao

41' Emmanuel Okwi anafunga penati iliyopatikana baada ya mlinzi David Mwasi kumvuta na kumuangusha ndani ya kumi na nane. Simba 2-0 Mbao

Tanzanian Premier League

HT: Simba 2-0 Mbao

⚽ David Mwasa (OG)
⚽ Emmanuel Okwi (pen)



No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.