TAARIFA MUHIMU KUTOKA LIPULI FC USIKU HUU..
*TAARIFA MUHIMU*
KWA NIABA YA UONGOZI WA *LIPULI FC* NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII KUTOA TAARIFA JUU YA KIKAO CHA PAMOJA KATI YA UONGOZI WA *LIPULI FC* NA WAJUMBE WOTE WALIOTEULIWA KUUNDA KAMATI MBALIMBALI NA KUTANGAZWA HIVI KARIBUNI.LENGO MAHUSUSI LA KIKAO HICHO NI KUPANGA MIKAKATI MADHUBUTI YA KUISAIDIA TIMU.
KIKAO HICHO MUHIMU KITAFANYIKA SAA 9.30 JIONI YA TAREHE 27/2/2018 KKT UWANJA WA SAMORA JUKWAA KUU.
UKIPATA TAARIFA HII MJULISHE NA MWENZIO.
imetolewa na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano LIPULI FC~CLEMENT SANGA.
LipuliFc
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.