Simba Yajifua Kabla Ya Kuondoka Nchini Kuelekea Djibout.


Chini ya Kocha Mkuu, Pierre Lechantre, kikosi cha Simba asubuhi ya leo kiliendelea na mazoezi katika Uwanja wa Boko Vetarani kwa ajili ya kuwawinda Gendarmarie Nationale FC katika Kombe la Shirikisho. Kikosi hicho kitapanda ndege jioni ya leo kuelekea nchini Djibout.

Simba pia itahitaji matokeo ya suluhu ama sare yoyote, ama ushindi ili iweze kusonga mbele.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.