VIDEEO: Viongozi Simba sc kuwekwa kitimoto TFF.


Viongozi wa klabu ya Simba watafikishwa kwenye kamati ya maadili ya TFF kwa kukiuka maagizo halali ya TFF na kushindwa kuhakikisha wachezaji wao wanaripoti kambini. Viongozi hao ni Kaimu Katibu Hamisi Kisiwa na Meneja wa timu hiyo Richard Robert 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.