Ratiba Ligi Kuu Tanzania Bara TPL Leo 25.8.2018


Ligi Kuu soka ya Tanzani bara inaendelea leo baada ya mechi za Raundi ya Kwanza kukamilika kwa mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Mbeya City Alhamisi usiku.
Leo  Agosti 25 2018 kutakuwa na Mechi takribani 4 zitakazochezwa katika nyasi za Viwanja mbalimbali Tanzania Bara
Singida vs Mwadui
Coastal Union vs Biashara United
Mtibwa Sugar vs Tanzania prisons
JKT Tanzania vs Lipuli Fc

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.