Dandoo muhimu kuelekea Simba day.


Mechi ya Simba Day tarehe 8 /8/2018 siku yaJumatano , mgeni rasmi ni Mh Majaliwa Kassim Majaliwa  Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Wasanii watakao tumbuiza, Mwasiti , Msaga Sumu, Tundaman na Bendi ya African Stars wanatwanga na kupepeta, lakini soon tutawatajia msanii mkubwa nchini ambayo itakua ni big Suprice kwa wana Simba .... Viingilio :- 20,000/= VIP A
15,000/= VIP B
5000/= mzunguko
Sitegemei kumuona mwana Simba aliyepo Dar es salaam anakosa game hii tuujaze uwanja.

Haji Manara

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.