Amka Na Taarifa Hii Kutoka Yanga Asubuhi Ya Leo August 2.2018

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka leo Alhamisi, August 02 kuelekea mkoani Morogoro kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger.

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Taifa August 19, 2018.

Kambi hiyo pia itakuwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa VPL.

Aidha kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, August 12 Yanga itacheza mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo maalumu ni kwa ajili ya kumuaga mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye amestaafu na sasa akiwa Meneja wa Yanga.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.