Manara Atoboa Siri Za Wapi Anakotoa Hisitoria Za Vilabu Vya Hapa Nchini Hasa Simba Na Yanga

Alhamdulillah nimechota sana historia ya Soka nchini na nimevijua vema vilabu vyetu kupitia kwa Google zangu zifuatazo..Captain Malik..huyu amecheza Yanga miaka ya 50 hadi 60 na ni muasisi wa Pan African..Marehemu Juma Mnonji Mwanachama mwandamizi wa Simba ambae tumemzika majuzi.Kocha Mansor Magram aliyekuwa kocha mkubwa nchini..Dr Ramadhani Dau balozi wetu Malaysia.Abuu Mbange wa Ilala, pamoja na wachezaji wa zamani Leodgar Tenga,Mohammed Adorph Rishard pamoja na Baba yangu mkubwa kitwana Manara..Baba yangu mzazi c mzuri sana kwenye historia..hawa wamenisaidia sana ktk kurahisisha kazi zangu..nnapoizungumzia Simba kama nimeianzisha mm..coz naijua kweli kweli!!
Na hyo Yanga ntakutajia hadi line up yao walipokuwa wanaitwa four four kwa vipigo vya Sunderland (Simba)miaka ya sitini.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.