Wachezaji Simba Waliokula Mkwanja Mrefu Zaidi Msimu Huu..


Kikosi Cha Simba ndio kikosi ghali zaidi katika ligi kuu Tanzania bara kuliko timu zote msimu huu. Na pia ndio kikosi chenye wachezaji wengi wenye viwango vya juu na Uzoefu. Kikosi hicho kinakadiriwa kuwa na thamani ya sh1.3 bilioni ambazo zilitumika kwenye usajili wa wachezaji kwenye dirisha la usajili VPL msimu wa 2017/2018 bila kusahau Asante Kwasi aliyesajiliwa msimu wa dirisha dogo.

Achana na mkwanja huo wa usajili iko hivi, katika mechi ambayo Simba walishinda ama kutoruhusu kupoteza pointi, kila mchezaji aliyeanza kwenye kikosi cha kwanza  anapata tsh. 300000/-, wachezaji wa akiba tsh. 200,000/- na wale ambao hawajavaa hata jexi waliambulia tsh. 150,000/-


HAWA HAPA WACHEZAJI  WALIOVUNA MKWANJA WA MAANA KUPITIA POSHO HIZO..

Aishi Manula : Tsh 11.2 milioni
Shiza Kichuya: Tsh 10.8 milioni
Erasto Nyoni: Tsh 8.1 milioni
John Bocco m: Tsh 7.6 milioni
James Kotei: Tsh 7.7 milioni
Emmanuel Okwi: Tsh 7.4 milioni
Jonas Mkude: Tsh 7.1 milioni
Yusuph Mlipili: Tsh 6.65 milioni
Mzamiru Yassin: Tsh 7.5 milioni
Juuko Murshidi: Tsh 6.5 milioni
Shomari Kapombe Tsh 4.2 milioni
Asante Kwasi: Tsh 4.5....

Kwa maelezo na Uafafanuzi kamili wa posho hizo nunua nakala yako ya gazeti la Mwanzaspoti la leo Jumamosi may 19..

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.