Klabu ya Simba Sc imepewa tayari milioni 100 na kampuni ya SportPesa baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara (Vpl). SportPesa wadhamini wakuu wa klabu hiyo kuna kipengele kwenye mkataba iwapo watakuwa mabingwa wa ligi kuu (Vpl) watapewa milioni 100.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.