Ligi ya mabingwa wa mikoa kuanza kutimua kivumbi 06-05-2018
Na Joseph michael
-Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) inatarajia kuanza kutimua vumbi kuanzia Jumapili Mei 6 na kumalizika Mei 22,2018 kwenye vituo vinne.
-Ligi hiyo ya RCL itashirikisha timu 28 zilizogawanywa kwenye makundi manne kwenye vituo vya Geita,Singida,Rukwa na Kilimanjaro na kila kundi kwenye kituo likiwa na timu 7.
-Kila kundi litapandisha timu 2 wakati zitakazobaki zitarudi ligi ya mkoa.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.